Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe Mzee Mizengo Kayanza Peter Pinda amemuomba Rais Magufuli akubali kuongeza vipindi zaidi vya kuwa madarakani ama la alisaidie Taifa kupata kiongozi atakayefuata baada yake ambaye atakuwa na sifa alizonazo yeye (Rais Magufuli) Fuatilia video hii.
