Surprise Me!

TAI ZA JPM NA MAANA YAKE

2020-11-23 0 274 Vimeo

Uvaaji wa Tai kwa kiongozi; Una maana yoyote? Jibu ni NDIYO! Rais Magufuli kwa mfano katika siku ya kula kiapo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano mingine alibadilisha tai kabla na baada ya kula kiapo. HII ilikuwa na ujumbe mahsusi. Fuatilia video hii ya dakika 6 ufahamu kwa nini. • TANZANIA INA UONGOZI MADHUBUTI WAKIZALENDO • SISI WATANZANIA TUMEAMUA KUJENGA UCHUMI IMARA KWA TAIFA ZIMA. #SisiNiTanzaniaMpyA+ ya Wachapa Kazi, Wazalendo, Wacha Mungu, MATAJIRI! #KaziInaendelea

Buy Now on CodeCanyon